BURUDANI
VIDEOMPYA: Mabibi na Mabwana Young killer ametuletea Remix ya Sinaga Swagga

Mwimbaji wa bongo fleva Young Killer msodoki ametusogezea video mpya ya wimbo wake wa Sinaga Swagger remix imefanywa na director mtanzania Nicklass, ukimaliza kuitazama naomba uache na comment yako ili Msodoki akipita ajue watu wake wamempokeaje.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni