Jumanne, 14 Oktoba 2014

TANZANIA ITAKUKUMBUKA KAMA MWLM JULIAS NYERERE NA RUTEN MLIMA

TANZANIA INAKUKUMBUKA KULA KUKICHA RUTEN R.RAJAB H MLIMA KWA UPENDO NA KUJITOLEA KWA NTA NA TUTAKUKUMBUKA MILELE DAIMA

Jumanne, 7 Oktoba 2014

NEW VIDEO MODEL FROM TANZANIA IF YOU WANT VIDEO QEEN FIND MY PRODUCTION 0654606656

NEW MODE FROM AMRIYNANA PRODUCTION AND FASHION NI MREMBO NA NI QEEN NI ARISI NA SIO FAKE U CAN FIND MEE KWA MATANGAZO NA VIDEO EDITING -0654606656

MAAJABU YA MUSA WATU WAUNGANA NA KUENDEREA KUISHI UKO JAMAL

WATU WALIO UNGANA UKO JAMAL WAISHI ADI KUFIKIA UTU UZIMA NA WAPATA MAMBO MENGIII PIA NI MAAJABU YA WATU KAMA AWA KUISHI KWA MUDA MREFUU VIII

NEW VIDEO YA B.O.B TRUE STOL

NEW VIDEO YA B.O.B TRUE STOL NI SHIDA SANA MTAANI DOWNLOAD IT

Ijumaa, 12 Septemba 2014

Jumapili, 3 Agosti 2014

JOKETI APATA MPENZI MPYA

Status ya uhusiano ya Jokate Mwegelo (kwa mujibu wake mwenyewe) inasomeka ‘single’ lakini huenda mambo yakawa yameshabadilika iwapo kile kilichopo katika mawazo yetu na yako baada ya kuona picha hizi kikawa ni kweli.
Nick Mutuma na Jokate Mwegelo Mjenzi wa ufa uliokuwa umebomoka kwenye moyo wa Jokate kutokana na mahusiano yake yaliyopita (Hasheem Thabeet na Diamond), anaweza akawa ameshapatikana. Naye si mwingine ni muigizaji wa kipindi cha MTV Shuga na mtangazaji wa redio, Nick Mutuma. Tangu aende Nairobi Kenya kikazi, Jokate na Mutuma wamekuwa karibu kiasi cha kuzalisha cheche za uwepo wa uhusiano kati yao. Kupitia Instagram, Mutuma alipost selfie akiwa na mrembo huyo aliyemlalia kifuani kama msichana afanyavyo kwa boyfriend wake. Picha hiyo ilivuta macho na comments za wengi kwenye mtandao huo huku wengi wakisema wanapendeza kuwa pamoja. “I pray u b a couple..those kids u’ll get tho’ lol @nickmutuma , @jokatem,” ameandika mmoja na mwingine kuchombeza: That is one cuuuute couple aaaaaaww!!!! Jana pia Nick alipost picha hii ya TBT: Naye Jokate alipost picha ya Mutuma akiwa busy kwenye laptop na kuandika: #KenyanBoys always emoji @nickmutuma.” - See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/jokate-anaswa-akiliwa-uroda-kenya.html#sthash.eLg9RBvh.dpuf

JOKATE ANASWA AKILIWA KATIKA POZ TATA NA MKENYA

  • Uploaded by: Angaza Bongo
  • Views:
  • Category:
  • Share

    0 comments:

    Post a Comment

    Ijumaa, 1 Agosti 2014

    VIFO VIBAYA SANA IVI ANGALIA APA

    WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO

     Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa.
    Watu wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea kufanyika sasa.

     Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa walifunikwa na kifusi.
     Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto
     Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula

    Alhamisi, 31 Julai 2014

    DIAMOND IN MBAGARA KWAO NA TUNZOO

    EXCLUSIVE::DIAMOND AFUNGA MITAA YA TANDALE AKIIPELEKA TUZO KWA MAMA YAKE

    Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz ) akiwa amezungukwa na Mashabiki ambao wakati alipota katika barabara ya kwa mtogole kupeleka tuzo yake kwa mama yake ambaye anaishi Tandale kwa Mtogole   jijini Dar es Salaam jana akitokea nchi Marekani alikopata Tuzo ya AFRIMMA 2014.Picha na Humphrey Shao.
     Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
     Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
     Diamond   akiwa na mlinzi wake
    Diamond Platnumz  akikatiza kitaa akiwa na tuzo mkononi
     Diamond Platnumz  akiwapa hola mashabiki wake

     Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari
     Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
    Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz
    -MATUKIOTZ

    No comments:

    Post a Comment