BREAKING NEWS: DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WAFUNGA NDOA KWA SIRI,
Nyanja Poti 9:48 PM
"Waswahili wanasema hayai hayai na sasa yamekuwa" mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz hatimaye atupia picha na mama kijacho Zarinah Hassan aka "ZARI" akiwa katika shera ikiwa ni dalili njema ya wapendanao hawa kufunga pingu za maisha.
Kupitia mtandao wa instagram mkali wa number one amepost picha usiku huu ambayo inawaonyesha wawili hawa wakiwa katika mavazi maalum kabisa ya harusi, na picha yenyewe ikisindikizwa na maneno haya "Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.... Alhamdulillah (Sometimes Privacy has more Blessings... Thank you so Much God ambayo yana viashiria vya kuwa sasa wamebariki mahusiano yao mbele ya mwenyezi Mungu na kuwa mke na mume.
Picha inaongea zaidi kuliko maneno elfu moja.

0 COMMENTS :