Jumanne, 15 Julai 2014

RIHANNA KUMBE MSHABIKI WAGERUMANI

Picha, Rihanna Akiwa Pewa Busu Na Lukas Podolski Na Bastian Schweinsteiger Wa Ujerumani.

rr 3Picha za Rihanna na wachezaji wa Ujerumani baada ya mechi ya fainali ya kombe la dunia kuisha pale Maracanã Stadium mjini Rio de Janeiro, Brazil. Rihanna alionekana akijiachia na Mario Götze,Lukas Podolski ,Bastian Schweinsteiger .
rihann 3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni