Picha, Rihanna Akiwa Na Mario Götze,Mchezaji Wa Ujerumani Aliyefunga Goli La Ushindi Kwenye World Cup
Baada ya ushindi mkubwa wa kombe la dunia, timu ya Ujerumani ilijiachia sehemu tofauti na mastaa waliokuja kuangalia michezo hio akiwemo Rihanna ambaye mwishoni mwa kombe la Dunia alitangaza kuwa TeamGermany. Kwenye hii picha Rihanna anaonekana na Gotze baada ya ushindi wa Ujerumani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni