Jumatano, 27 Agosti 2014
Home » PICHA » WAREMBO » PICHAZ: MTOTO WA KAJALA, PAULA SASA AMEKUA BINTI MREMBO....TAZAMA PICHA ZAKE ZA MWAKA HUU NA ZA HIVI MJUZI!!! PICHAZ: MTOTO WA KAJALA, PAULA SASA AMEKUA BINTI MREMBO....TAZAMA PICHA ZAKE ZA MWAKA HUU NA ZA HIVI MJUZI!!! Paula ni mtoto wa kike wa Msanii Maarufu wa Bongo Movies KAJALA Masanja ambae alishatengana na mzazi mwenzie, P Funk!!!....Kwasasa amekua na kuonekana mrembo zaidi....zitazame picha zake za hivi sasa na za mwaka juzi....PICHA ZAIDI ENDELEA >>>NEXT PAGE
Jumanne, 26 Agosti 2014
MSANII AMRIY D AMTUNGIA NYIMBO MAREM RAJABU MLIMA ASKALI ALIE PIGWA RISASI KWA KUTETEA AMANI NCHIN KONGO
TUTATAKUKUMBUKA DAIMA SHUJAA WETU AKUNA KAMA WEWE TANZANIA NA DUNIA KOTE TUTAKUKUMBUKA MUNGU AKUBALIKI MILELE DAIMA SKILIZA NYIMBO IYO KUPITIA HULKSHARE
MSANII MPYA WA RJ COMPANY AND TIMAMU EFFECT ANAKUJA JUU SANA KATIKA SOKO LA SANAA
msanii atakaye tikisa bongo katika tasnia ya mziki noma sana unaweza m follow intragram or facebook for invitoin
Ijumaa, 8 Agosti 2014
Jumapili, 3 Agosti 2014
JOKETI APATA MPENZI MPYA
Status ya uhusiano ya Jokate Mwegelo (kwa mujibu wake
mwenyewe) inasomeka ‘single’ lakini huenda mambo yakawa yameshabadilika
iwapo kile kilichopo katika mawazo yetu na yako baada ya kuona picha
hizi kikawa ni kweli.
Nick Mutuma na Jokate Mwegelo Mjenzi wa ufa uliokuwa umebomoka kwenye moyo wa Jokate kutokana na mahusiano yake yaliyopita (Hasheem Thabeet na Diamond), anaweza akawa ameshapatikana. Naye si mwingine ni muigizaji wa kipindi cha MTV Shuga na mtangazaji wa redio, Nick Mutuma. Tangu aende Nairobi Kenya kikazi, Jokate na Mutuma wamekuwa karibu kiasi cha kuzalisha cheche za uwepo wa uhusiano kati yao. Kupitia Instagram, Mutuma alipost selfie akiwa na mrembo huyo aliyemlalia kifuani kama msichana afanyavyo kwa boyfriend wake. Picha hiyo ilivuta macho na comments za wengi kwenye mtandao huo huku wengi wakisema wanapendeza kuwa pamoja. “I pray u b a couple..those kids u’ll get tho’ lol @nickmutuma , @jokatem,” ameandika mmoja na mwingine kuchombeza: That is one cuuuute couple aaaaaaww!!!! Jana pia Nick alipost picha hii ya TBT:
Naye Jokate alipost picha ya Mutuma akiwa busy kwenye laptop na kuandika: #KenyanBoys always emoji @nickmutuma.”
- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/jokate-anaswa-akiliwa-uroda-kenya.html#sthash.eLg9RBvh.dpuf
Nick Mutuma na Jokate Mwegelo Mjenzi wa ufa uliokuwa umebomoka kwenye moyo wa Jokate kutokana na mahusiano yake yaliyopita (Hasheem Thabeet na Diamond), anaweza akawa ameshapatikana. Naye si mwingine ni muigizaji wa kipindi cha MTV Shuga na mtangazaji wa redio, Nick Mutuma. Tangu aende Nairobi Kenya kikazi, Jokate na Mutuma wamekuwa karibu kiasi cha kuzalisha cheche za uwepo wa uhusiano kati yao. Kupitia Instagram, Mutuma alipost selfie akiwa na mrembo huyo aliyemlalia kifuani kama msichana afanyavyo kwa boyfriend wake. Picha hiyo ilivuta macho na comments za wengi kwenye mtandao huo huku wengi wakisema wanapendeza kuwa pamoja. “I pray u b a couple..those kids u’ll get tho’ lol @nickmutuma , @jokatem,” ameandika mmoja na mwingine kuchombeza: That is one cuuuute couple aaaaaaww!!!! Jana pia Nick alipost picha hii ya TBT:
JOKATE ANASWA AKILIWA KATIKA POZ TATA NA MKENYA
Views:
Category:
Share
Related Videos
Blogroll
Follow on FaceBook
Ads by SavePassAd Options
X
Ads by SavePass
Popular Posts
-
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii mkubwa wa bongo movie, Irene Uwoya ametupia picha mtandaoni akiwa hana...
-
Status ya uhusiano ya Jokate Mwegelo (kwa mujibu wake mwenyewe) inasomeka ‘single’ lakini huenda mambo yakawa yameshabadilika iwapo kile...
-
T.I. Ft. Iggy Azalea – No Mediocre (Official Video) it is a nice video just click play to listen it << PLAY HARE>>
-
T-Pain released a new song known as love suicide click play to listen and download << play here>>
-
Mrembo wa Filamu za Bongo Movies Rose Ndauka Amejimwagia sifa Kibao na kusema ukiwaambia wasanii wa kike wanaojieshimu wapite ...
-
Diamond is rapping in the Chris Brown beat listen li up << play hare..>>
-
trey song has released a new video of the song known as CHANGE YOUR MIND it is a good video with good idea try to watch it on you own jus...
-
new video:BX Ft Mr Blue ,nyandu toz & young d << play >>
-
Brand new single from Chris Brown “New Flame” Ft. Usher & Rick Ross.. No word on where this will end up!! Listen to Chris Brown F...
-
MTOTO wa kike mwenye umri wa siku moja amenusurika kufa baada ya kuokolewa na wasamaria kutoka katika shimo alimotupwa na mama yake mza...
Trending Video
About Me
Blog Archive
-
▼
2014
(21)
-
▼
August
(8)
- WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJI...
- UMEONA KUFURU YA BILLIONARE MAARUFU HAPA AFRICA AL...
- Producer Monagangstar Alalamika Kuhusu Tabia Ya Yo...
- MAMA ATUPA MTOTO WA SIKU MOJA SHIMONI KULINDA NDOA...
- JOKATE ANASWA AKILIWA KATIKA POZ TATA NA MKENYA
- Irene Uwoya afanya kituko.....Apiga picha za nusu ...
- Rose Ndauka Ajimwagia Sifa Kede Kede Anadai Anajih...
- MASKINI ROSE MUHANDO..WAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA....
-
▼
August
(8)
Powered by Blogger.
Ijumaa, 1 Agosti 2014
VIFO VIBAYA SANA IVI ANGALIA APA
WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO
Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku watu wanne wakiwa wamefunikwa.
Watu
wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na
Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea
Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa
chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea kufanyika sasa.
Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa walifunikwa na kifusi.
Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto
Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
0 comments:
Post a Comment