
*NIMEICHUKUA SEHEMU TAFADHALI USIPITE BILA KUSOMA*
Jina langu
naitwa Rebecca, Kwa niaba ya binti wangu mwenye umri wa miaka 16 naomba
uchukue muda wako na kuusoma ujumbe huu wangu kwako..
Ninaamini una mama, dada, rafiki yako wa kike au mke pia. Na wote ni mwanwake kama mimi na binti yangu.
Angalia katika picha hii. Binti yangu amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa
zaidi ya miaka mitatu sasa,Kansa ililiathiri ziwa lake moja na sasa
imesambaa na kuliathiri ziwa la pili pia.
Tangu hapo maisha yamekuwa ni ya maumivu, huzuni na machozi kila mara.
Nimetembelea hospitali mbalimbali, nimetumia fedha nyingi bila
mafanikio na sasa nimebaki kuwa maskini ninaye lia nyakati zote huku
nikipitia maumivu makubwa moyoni mwangu hasa nikimwamngalia binti yangu.
Nakuomba ndugu yangu unayeisoma habari hii kuwa nami katika
maombi ili wanangu apate unafuu wa maumivu haya na mimi na hatimaye
furaha na ule ucheshi na ndoto zetu na mwanagu zirejee tena.
"Mungu wetu naomba umlinde mtoto wako na kumpa unafuu wa maumivu
anayoyapitia sasa na kuwalinda wanawake wote huku ukiwaepusha na ugonjwa
huu mbaya"
Kama una moyo wa huruma na wenye kuelewa kipindi
kigumu ambacho mimi na binti yangu tunakipitia kwa sasa tafadhali
usiudharau ujumbe huu.
Ni Mungu pekee mwenye uweza wa kutusaidia katika kipindi hiki kigumu na cha maumivu na huzuni..
Comment AMEN ili kumwomba Mungu awalinde dada zetu, mama zetu, marafiki
zetu wa kike, wake zetu katika ugonjwa mbaya wa kansa ( saratani)!!!
SHARE ujumbe huu baada ya kukoment ili kuwapa nafasi watu wengine waweze ku-comment na ujumbe huu usambae