Habari kuu
Arsenal kuchuana na Liverpool
Arsenal itamkagua mshambuliaji Danny Welbeck ambaye ana jeraha la goti. Steven Gerrard na Martin Skrtel wanahudumia marufuku
- 3 Aprili 2015
Tenis kuzikutanisha Nchi za Afrika Misri
Tanzania,Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi zitakashiriki michuano ya Afrika ya tenisi kwa vijana chini ya miaka 18.
- 3 Aprili 2015
Kila lakheri Young Africans
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewatakia kila la kheri wawakilishi pekee wa Tanzania Young Africans.
- 3 Aprili 2015
Wenger na Giroud watuzwa na EPL
Olivier Giroud na kocha Arsene Wenger wamechaguliwa kama washindi wa taji la mwezi la mchezaji bora na mkufunzi bora
- 3 Aprili 2015
Twiga Stars kuikabili She-polopolo
Twiga Stars,itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwakarisbisha timu ya taifa Zambia 'The She-Polopolo'.
- 3 Aprili 2015
Mechi za ligi ya EPL kuendelea jumamosi
Ligi ya England itaendelea tena leo kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.
- 3 Aprili 2015
Ubaguzi wa rangi wamtisha Chris Ramsey
Meneja wa timu ya QPR Chris Ramsey amesema asili yake ya rangi nyeusi itampa wakati mgumu kupata kazi
- 3 Aprili 2015
Liverpool yamng'ang'ania Raheem Sterling
Kocha wa Liverpool ya England Brendan Rodgers, amesema Raheem Sterling hataondoka katika klabu hiyo.
- 3 Aprili 2015
Simba yajinasibu kuifunga Kagera sugar
Kocha wa mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiipigia mahesabu ya ushindi timu ya Kagera Sugar.
- 2 Aprili 2015
Sibtain Kassamali mteuzi mkuu Kenya
Sibtain Kassamali ameteuliwa na bodi ya kriketi ya Kenya kuwa mteuzi mkuu wa timu za Kenya.
- 2 Aprili 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni