Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo,
Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea
kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini
Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani lina cha kushika mkononi.Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’,
Ishu hiyo ilitokea Julai 14, mwaka huu
ndani ya Ukumbi wa BoT uliopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam
ambapo wasanii wa Marekani waliotinga Bongo kwa mwiliko wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ walikuwa
wakitoa semina kwa wasanii wa Bongo.
Lulu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akiweka wazi mapenzi yake kwa Bieber alifika ndani ya ukumbi huo na kumwambia staa mwenzake wa sinema, Zuweza Mohamed ‘Shilole’ kwamba lengo la kufika kwake ni kuwaomba wasanii hao namba za simu za Bieber.

ILIKUWAJE?
Semina hiyo ilikuwa na lengo la kutoa mbinu za namna ya kukuza na kupanua soko la muziki na sanaa zote Tanzania.
Semina hiyo ilikuwa na lengo la kutoa mbinu za namna ya kukuza na kupanua soko la muziki na sanaa zote Tanzania.
Semina ilianza saa 3:00 asubuhi na
wasanii wa Bongo waliitikia wito kwa kufika mapema, lakini Lulu alizama
ukumbini hapo saa 8:12 mchana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni