wema ataolewa na diamond
DIAMOND NDIO BABA WATOTO WANGU, NA USHAHIDI WA PETE HII HAPA ALIYONIVALISHA, TENA KANIFANYIA SAPRIZI
SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25)
ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa
kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond.
IJUMAA WIKIENDA MZIGONI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni