Alhamisi, 31 Julai 2014

DIAMOND IN MBAGARA KWAO NA TUNZOO

EXCLUSIVE::DIAMOND AFUNGA MITAA YA TANDALE AKIIPELEKA TUZO KWA MAMA YAKE

Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz ) akiwa amezungukwa na Mashabiki ambao wakati alipota katika barabara ya kwa mtogole kupeleka tuzo yake kwa mama yake ambaye anaishi Tandale kwa Mtogole   jijini Dar es Salaam jana akitokea nchi Marekani alikopata Tuzo ya AFRIMMA 2014.Picha na Humphrey Shao.
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Diamond   akiwa na mlinzi wake
Diamond Platnumz  akikatiza kitaa akiwa na tuzo mkononi
 Diamond Platnumz  akiwapa hola mashabiki wake
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari
 Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz 
Mwamuziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz
-MATUKIOTZ

No comments:

Post a Comment

Jumanne, 29 Julai 2014

KUMBE DIAMOND AWADANGANYA WATAZANIA JUU YA TUZO

LOH!! KUMBE DIAMOND KAWADANGANYA WATANZANIA KUHUSU KUSHINDA TUZO MBILI




WASANII wa Tanzania wenye mashabiki wengi Afrika Mashariki, Lady Jay Dee na Diamond Platinumz, wameitoa Tanzania Kimasomaso kwa kushinda tuzo moja moja katika tuzo za AFRIMA (African Muzik Magazine Awards 2014), zilizofanyika jana Dallas, Marekani.

Kwa mujibu wa mtandao wa African Music Magazine, Lady Jay Dee alishinda tuzo ya mwimbaji bora wa kike wa Afrika Mashariki na Diamond Platinumz alishinda tuzo ya Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki.
>>MWANAUME AMBAYE YUKO "PERIOD"( HEDHI) AGUNDULIWA, WAMKUTA NA MAYAI YA UZAZI YA KIKE::CHEKI HAPA
Hata hivyo, kwa habari ambazo zimeenea Tanzania na kutajwa kuwa zilizotolewa na meneja wa Diamond zinaeleza kuwa Diamond ameshinda tuzo mbili ambayo nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana.

Hali hiyo ilisababisha utata, kwa mashabiki wa mwanamuziki huyo Diamond Platnamu hali iliyopelekea mashabiki hao kuhisi kuwa msanii huyo amewadanganya mashabiki wake.

>>>KICHANGA CHAKUTWA HAI KATIKA TUMBO LA MAMA ALIYEUAWA


Alhamisi, 24 Julai 2014

ANGALIA BEHIND THE SINE HII THEN UNAUJUMBE GANI KWA WASANII WA KIBONGO

TANZANIA TUNA IGIZA VIZURI ILA UNAONAJE VIDEO HII NA UNA SEMA KITUGNI JUU YA VIDEO HIIIIII KWA TANSIA YETU YA KIBONGO

MATESO ANAYO PATA MTU UYU AYASEMEKANI

KIJANA MMOJA JIJI DARA ANAULEMAVU AU MATATIZO AMBAYO AYASEMEKEKI NAA AJUI NANI ATAMSAIDIA KATIKA SHUGULI ZAKE ZAKE ZA KILA SIK,EMU MUOMBEE MUNGU NA TOA MSAADA JUU YA ILI

Jumatatu, 21 Julai 2014

ABOOD MEDIA YA FUTULISHA SOMA NA ANGALIA PICHA APO

ABOOD MEDIA FROM MOROGORO JANA IMEFUTULISHA WAZEE WASIO JIWEZA NA PIA WAKATOA VITU KAMA NGUO NA KAZALIKA PIA WALIWAFALIJI WAZEE AWO NA KUWAPO MMETO MZUURI
BOVYA KWA PICHA
PICHA 1
PICHA 2
PICHA 3
ANGALIA PICHA ZOTE APAA

UKITAKA KITENGE KAMA ICHI WASILIANA NA SI 0786865084-0654606656

UNAWEZA PATA KITENGE CLASSIC PIA UTAUIPA YANI UPAMBAJI WA WAREMBO PATA SALOON BEI POA KWA KUJITENGENEZA PIA UNAWEZA PATA IDIO KUTOKA KWETU NA KAZALIKA KUTENGEZA VITENGE CLASIII MFANA WA UYYO MREMBO APO

wema ataolewa na diamond


DIAMOND NDIO BABA WATOTO WANGU, NA USHAHIDI WA PETE HII HAPA ALIYONIVALISHA, TENA KANIFANYIA SAPRIZI

SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond.
IJUMAA WIKIENDA MZIGONI

STAMINA NEW SONG FT NEY WA MITEGO


DADA UYO YA MKUTA YA MAREHEMU RECHO


AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO


MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho.

AMANDA YAMKUTA YA MAREHEMU RECHO


MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho.
Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitok
ea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo hakujua ni nani aliyemfanyia ‘unyambilisi’ huo usiku kwani alishtuka asubuhi na kuona akivuja damu zikiashiria kuchanjwa kwa wembe.

Jumapili, 20 Julai 2014

KAMA UNATAKA KUCHOLA TATOO WASILIANA NA 0654606656-0786865084

UNAWEZA KUCHOLA TATOO ZA AINA ZOTE KUPITIA AMRIYNANA PIA UNAWERZA TENGENEZA COMPUTER SIMU NA VIFAA VINGINE PIA UPAMBAJI WA MAALUSI NA SALONN KALIBU SANA 0654606656-0786865084

AIRTEL INAWAPA OFA TENA

AIRTEL TANZA NIA INAKUPA OFA KILA UNAPO BOVYA NUMBER IZII NA KUANGALIA OFA YAKO *149*99# PIA TEMBEREA WWW.AIRTEL.COM

VHUMO KIONJOO NOMAS

KIONJO CHA MUUVI II KITAKUFANYA UKUMBUKE WAPI

Alhamisi, 17 Julai 2014

LULU ATIA FORA

 

Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi.Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’,
Ishu hiyo ilitokea Julai 14, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa BoT uliopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wa Marekani waliotinga Bongo kwa mwiliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ walikuwa wakitoa semina kwa wasanii wa Bongo.
Lulu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akiweka wazi mapenzi yake kwa Bieber alifika ndani ya ukumbi huo na kumwambia staa mwenzake wa sinema, Zuweza Mohamed ‘Shilole’ kwamba lengo la kufika kwake ni kuwaomba wasanii hao namba za simu za Bieber.
ILIKUWAJE?
Semina hiyo ilikuwa na lengo la kutoa mbinu za namna ya kukuza na kupanua soko la muziki na sanaa zote Tanzania.
Semina ilianza saa 3:00 asubuhi na wasanii wa Bongo waliitikia wito kwa kufika mapema, lakini Lulu alizama ukumbini hapo saa 8:12 mchana.

Jumatano, 16 Julai 2014

WEMASEPETU ALIZWA TENA SOMA

HABARI KAMILI KUHUSU WEMA KULIZWA NA.MWARABU CHEKI HAPA

STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika.
Staa wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania Kituo Kikuu jijini Dar es Salaam
, kilisema ilikuwa mwaka jana (2013) ambapo Wema alimkabidhi mhariri huyo filamu mbili, Super Star na Vian Unaspect.
MALIPO YAFANYWA, KAZI HAKUNA
Ikazidi kudaiwa kwamba mbali na filamu hizo, Wema alimlipa jamaa shilingi 2,500,000 ili kuzihariri (editing) filamu hizo ikiwa ni hatua ya mwisho kabla ya kuingia sokoni.
JAMAA AINGIA MITINI, AMKWEPA WEMA
Habari zikazidi kudai kwamba, baada ya kuudaka ‘mpunga’ huo jamaa huyo amekuwa akimzungusha Wema kufanya kazi zake na kumkabidhi ili azipeleke sokoni ndipo wiki iliyopita mlimbwende huyo akalazimika kwenda kutoa taarifa kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar es Salaam.
GHARAMA ZA FILAMU
Kwa mujibu wa mtoa habari huyo, alimsikia Wema akisema filamu zote zimemteketezea shilingi milioni 70,000,000 mbali na hizo alizomlipa huyo mhariri wa filamu ambazo zikiingizwa kwenye gharama nzima inafika shilingi 75,000,000.
KAMA ZINGEINGIA SOKONI
Habari zaidi zinasema kwamba kama filamu hizo zingehaririwa mwaka jana na kuingizwa sokoni, Wema angekunja mkobani kiasi cha shilingi 140,000,000 hivyo kurudisha gharama za kuandaa (75,000,000) na faida juu (65,000,000).
WEMA ASWAKWA, AKATAE AU AKUBALI
Kufuatia maelelezo hayo kutoka chanzo chetu, mwishoni mwa wiki iliyopita, Uwazi lilimsaka mrembo huyo ili afunguke kuhusu kuwepo kwa madai hayo, alipopatikana na kuulizwa sakata zima hakuwa tayari kupepesa macho, akakiri.
Alisema awali kijana huyo aliyemdhulumu alikuwa mfanyakazi wake katika kampuni ‘mufilisi’ ya Endless Fame, cha ajabu toka ampatie hiyo kazi ya kumtengenezea pamoja na kumkabidhi fedha amekuwa akimchenga toka mwaka jana.
“Mimi nashindwa hata kumuelewa ana dhumuni gani na hizo kazi zangu maana hapo ana kama shilingi milioni 140 zangu, kwa kuwa kila kazi nilikuwa nalipwa shilingi milioni 70, nilishafanya makubaliano na Kampuni za Proin Promotion  na Steps kuwapa filamu zangu lakini yeye ananizungusha, toka kipindi kile sijaende China, nikimuuliza majibu yake siyaelewi.”
WEMA AMWAGA CHOZI, MTUHUMIWA MBARONI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Wema aliendelea kulalamika  mpaka kufikia hatua ya kumwaga chozi:
“Juzi kati Mtitu alitaka nifanye naye kazi lakini akanikumbushia Filamu ya Super Star, kwamba hajaiona sokoni mpaka sasa, ndipo nikamuelezea, akasema hawezi kukubali niipoteze kirahisi, lazima nisimame kidete kuipata ndiyo nikaenda naye mpaka Kituo cha Polisi Mabatini kufungua kesi na Chidy akakamatwa siku hiyo hiyo.”
APEWA SIKU SABA
Wema aliendelea kusema: “Polisi walimpa siku saba ahahakikishe ananikabidhi kazi zangu pamoja na kompyuta  moja ambayo aliichukua ofisini kwangu bila ridhaa ya mimi mwenyewe na akagoma kuirudisha.”
AFISA WA POLISI
Naye afisa mmoja wa polisi wa kituo hicho ambaye alizungumza na gazeti hili kwa sharti la kutoandika jina lake gazetini alithibitisha Wema kufungua kesi Mabatini na ikapewa jalada Namba KJN/RB/5850/14 WIZI WA KUAMINIWA 3/7/2014.
“Ukweli ni kwamba zikipita siku saba bila kijana huyo kuleta fedha na kompyuta ya Wema hapa polisi, tutamsaka na tukimkamata sheria itachukua mkondo wake,” alisema afisa huyo wa polisi.
UPER STAR, OMOTOLA ALIFIKA
Kama itakumbukwa sawasawa Filamu ya Super Star ilizinduliwa Juni 24, 2012 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar na nyota wa muvi za Nollywood (Nigeria), Omotola Jalade Ekeinde alishiriki.

No comments:

Post a Comment