Jumapili, 3 Agosti 2014

JOKETI APATA MPENZI MPYA


Status ya uhusiano ya Jokate Mwegelo (kwa mujibu wake mwenyewe) inasomeka ‘single’ lakini huenda mambo yakawa yameshabadilika iwapo kile kilichopo katika mawazo yetu na yako baada ya kuona picha hizi kikawa ni kweli.
Nick Mutuma na Jokate Mwegelo Mjenzi wa ufa uliokuwa umebomoka kwenye moyo wa Jokate kutokana na mahusiano yake yaliyopita (Hasheem Thabeet na Diamond), anaweza akawa ameshapatikana. Naye si mwingine ni muigizaji wa kipindi cha MTV Shuga na mtangazaji wa redio, Nick Mutuma. Tangu aende Nairobi Kenya kikazi, Jokate na Mutuma wamekuwa karibu kiasi cha kuzalisha cheche za uwepo wa uhusiano kati yao. Kupitia Instagram, Mutuma alipost selfie akiwa na mrembo huyo aliyemlalia kifuani kama msichana afanyavyo kwa boyfriend wake. Picha hiyo ilivuta macho na comments za wengi kwenye mtandao huo huku wengi wakisema wanapendeza kuwa pamoja. “I pray u b a couple..those kids u’ll get tho’ lol @nickmutuma , @jokatem,” ameandika mmoja na mwingine kuchombeza: That is one cuuuute couple aaaaaaww!!!! Jana pia Nick alipost picha hii ya TBT: Naye Jokate alipost picha ya Mutuma akiwa busy kwenye laptop na kuandika: #KenyanBoys always emoji @nickmutuma.” - See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/08/jokate-anaswa-akiliwa-uroda-kenya.html#sthash.eLg9RBvh.dpuf

JOKATE ANASWA AKILIWA KATIKA POZ TATA NA MKENYA

  • Uploaded by: Angaza Bongo
  • Views:
  • Category:
  • Share

    0 comments:

    Post a Comment

     

    Ijumaa, 1 Agosti 2014

    VIFO VIBAYA SANA IVI ANGALIA APA

    WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO

     Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa.
    Watu wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea kufanyika sasa.

     Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa walifunikwa na kifusi.
     Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto
     Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula