Alhamisi, 3 Julai 2014

SHETA APATA SHAVU UKO DS TV

BY AMRIY RAJABU DIMOSO



Rapper Shetta amedai kuwa baada ya kutoka kwa video yake mpya ya Kerewa tayari ameshaanza kupata deal za pesa ambapo DSTV wameshaonyesha nia ya kufanya kazi na msanii huyo.





Akizungumza Shetta amesema kuwa tayari wapo kwenye mazungumzo na no na DSTV na hivi karibuni kila kitu kitakuwa wazi.

BY AMRIY RAJABU DIMOSO

Hali katika kampuni ya RJ inayoongozwa kwa ubiya kati ya Vicent Kigosi ( Ray) na Blandina Chagula ‘Johari’, inazidi kuwa tete kwa kile kinachoelezwa kuwa johari hataki kufanya kazi pamoja na ‘mke mwenza’ Chuchu Hans.

Chanzo hicho ambacho kipo karibu na wasanii hao kilisema kuwa mwezi mmoja uliopita Johari na Chuchu, walikuwa katika kuelekea kuelewana ambapo johari, alishakubali yaishe kuwa Ray wake ameshapokonywa na mtoto huyo wa Kitanga .

Mnyetishaji huyo aliendelea kusema kuwa baada ya Johari kuwa katika hali hiyo,ndipo Chuchu alipoanza kutanua makucha yake ndani ya kampuni kwa kujifanya ni mmoja kati ya wakurugenzi wakati ukweli haupo hivyo.

Chanzo hicho kilizidi kusema kuwa imefikia hatua Chuchu, kaanza kutoa amri kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo bila ya kupata kibali kutoka kwa wakurugenzi waasisi ambao mtaji wao unadaiwa kutokana na Johari ‘kumpiga’ changa la macho mfanyabiashara maarufu kutoka mkoani Mbeya.



Mpashaji huyo alizidi kusema kuwa bifu liliibuka upya mkoani Dodoma, ambako Ray na Johari walikwenda katika ziara ya Kilimanjaro Music Awards Tour, na mashabiki wao kuwataka wapande jukwaani kwa pamoja.

Mtoa habari hiyo alisema kuwa

kuwa kutokana na hali hiyo, ndipo Chuchu alipoanzisha bifu la chinichini lililopelekea hadi sasa kwenye kampuni hiyo kuzuka mtafaruku mkubwa huku Johari, akitaka kujitenga kabisa na Ray lakini kinachomkwamisha ni pesa zake nyingi alizowekeza.

Inadaiwa kuwa Johari amekuwa mkali sana sasa hivi akimtaka mkurugenzi mwenzake Ray, wagawane kila kitu mpaka nguo za ndani walizonunua kwa pesa za kampuni yao hiyo.

Katika kufuatilia habari hizo ili kupata ukweli kuhusiana na timbwili hili mwanahabari wetu aliwasaka wote kwenye simu zao za mkononi, lakini wote hawakutaka kutoa ushirikiano kwa kile walichokieleza kuwa wapo bize na maswala binafsi.

DIAMOND NDANI YA BET


BY AMRIY RAJABU DIMOSO


Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya Mapaparazi zaidi ya 200,Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na Suit yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo waingereza wanasema "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi .

Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita

Mwanamuziki Nelly alitushangaza pale alipomvuta koti Diamond kwa nyuma na kumwta kwa Jina,Tulishangaa sana kuona kumbe wanamuziki wa Marekani nao wanafatilia habari za African Nominees.

Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.

Ndani kwenye Award show Diamond na USA Manager wake Bwana DMK wakipata Ukodaki

HICHI NDICHO ALICHO SEMA LULU BAADA YA KUAMBIWA KAFUNGA NDOA

HICHI NDICHO ALICHOSEMA LULU BAADA YA KURIPOTIWA KUFUNGA NDOA..


lulu na Joti

Baada ya fununu kuwa Lulu amefunga ndoa zilizoenea kwenye Blogs mbalimbali...Hatimae Msanii huyo amevunja ukimya na Kusema yanayoenelea nyuma ya Pazia cheki picha na Post zake huko Instagram....

lulu na Joti

joti na lulu
lulu tweet
Tags: ,

MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI SOMA IYO

BABA MWENYE NYUMBA AFUMWA NA MKE WA MPANGAJI ALICHOFANYWA HATOSAHAU MAISHANI.CHEKI HAPA::

  Jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali  akihusishwa  kuchepuka na mke wa mpangaji wake, akiwa amenaswa kwenye gesti moja maeneo ya Buguruni, Dar.

Vunja jungu! Saa kadhaa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Lugali ameibua sekeseke kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti), kisa kikidaiwa ni mchepuko akihusishwa na mke wa mpangaji wake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa.Wakati ikirandaranda mitaani kutega mingo, Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea mchongo kuwa kuna timbwili kwenye gesti moja maeneo ya Buguruni, Dar ambapo walifika eneo la tukio na kushuhudia kasheshe hilo la aina yake.

Ndugu wa mume waliyefumania wakimdhibiti baba mwenye nyumba huyo.

 OFM ilimshuhudia mzee huyo akichomolewa kutoka chumbani huku damu zikimvuja baada ya kula kichapo kutoka kwa jamaa na ndugu wa mwanaume aliyedai kuwa jamaa huyo alikuwa anamsumbua mkewe.



Mke aliyekuwa akisumbuliwa, na ndugu wa mume wenye hasira wakizidi kumuadabisha mtuhumiwa.

 Kwa mujibu wa mashuhuda, kabla ya jamaa hao kuingia chumbani humo kwanza walivunja mlango wa chumba hicho baada ya kupata idhini kutoka kwa msimamizi wa gesti hiyo kufuatia  baba mwenye nyumba huyo kukahidi kuwafungulia mlango ili wamchukue mke wa ndugu yao aliyedaiwa kuwa ndani na mzee huyo.



Baba mwenye nyumba akizidi kuchezea kichapo.

 Walidai kwamba mzee huyo ambaye ni baba mwenye nyumba, alikuwa akimtolea udenda mke huyo wa mpangaji wake ambaye ni jirani yake huku akimsumbua mara kwa mara kwa simu na ujumbe mfupi wa SMS.


 Ilidaiwa kwamba kufuatia usumbufu huo, mke huyo alimweleza mumewe lakini mumewe hakuamini kama kweli baba mwenye nyumba alikuwa  akimtaka mke wake kimapenzi.

Ilisemekana kuwa mume huyo alimweleza mkewe ili aamini kweli baba mwenye nyumba alipania kumtaka basi amkubali ili amkute naye gesti amkomeshe kwa tabia hiyo ya baadhi ya wenye nyumba ambao huwataka wake wa wapangaji wake. 

“Nilimwambia mke wangu amkubali kwa sababu nilikuwa na nia ya kukomesha tabia yake ya kutongoza wake wa wapangaji wake, akamwita Buguruni ndipo nikawapigia ninyi waandishi wa habari ili mje mchukue ushahidi,” alisema mume huyo. 

Baada ya kukutwa gesti humo, mzee huyo aliomba msamaha kwa mpangaji wake huyo na kuahidi kulipa fidia ambapo aliwaandikia cheki feki kisha akakimbilia Kituo cha Polisi cha Buguruni na kufungua shauri kuwa alitekwa, akapigwa kisha akapelekwa gesti. 

Shauri hilo ambalo liliandikishwa kwa jalada namba BUG/RB 6182/2014- utekaji. Mzee huyo alidai kutekwa na mpangaji wake huyo na kumpeleka nje ya mji kisha kumpiga ili kuua soo.
Hadi gazeti hili linaanua jamvi kituoni hapo, polisi walikuwa wakichunguza ili ukweli ujulikane

WEMA ATIA FORA ANGALIA IYO [AMRIYNANA@BLOGSPOT.COM

PICHA ZA WEMA NA AUNT EZEKIEL ZILIZOZUA GUMZO MTANDAONI

wema-sepetu-aunt-ezekiel-martin-kadinga-in-my-shoes-1
Wema Sepetu ”In my shoes” Episode 20 Fashionista shopping + Bunyero nite. Aunt Ezekiel na meneja wa Wema, Martin Kadinda ndani ya episode.
Dakika 14 za mwanzo ni mambo ya shopping na kwa kiasi fulani inachosha. Baada ya hapo, Martin Kadinga anawashukia Wena na Aunt kuhusu mpango wa kuhudhuria Bunyero (Kibao Kata) na hapo ndio burudaniinapoanz
wema-sepetu-aunt-ezekiel-martin-kadinga-in-my-shoes-tmb

wema-sepetu-aunt-ezekiel-martin-kadinga-in-my-shoes-00

HUYU NDIO DADA ALIYE MLA NYAMA MFANYA KAZI WAKE@AMRIYNANA@BLOGSPOT.COM

HUYU NDIYO DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE**.ANGALIA PICHA HAPA,,,


Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza
Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.
Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.
Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.
House girl aliye pata mateso toka kwa mwajiri wake

TID APATA ZULUBA KISA MATUSI KWA RAY C[AMRIYNANA@BLOGSPOT.COM


» NDANI YA BONGO » NOMAA:::MASHABIKI WAMEMSULUBU TID, KISA NI MATUSI YAKE KWA RAY C

NOMAA:::MASHABIKI WAMEMSULUBU TID, KISA NI MATUSI YAKE KWA RAY C

Thursday, 3 July 2014 byi
Huu ni muendelezo wa story ya jana inayomhusu TID kumtusi sana Ray C baada ya Ray C kumwambia TID katikak intsgram kwamba aende kwa Ray C waongee maana TID ni msanii bora Afrika Mashariki. Ingia kujimumbusha habari hiyo

Baada ya Matusi ya TID kwa Ray C, mashabiki wa muziki wamemshushia maneno (matusi) mazito TID. Maoni ya raia hao yanaonesha kwamba TID aliitwa na Ray C ili apewe ushauri wa kuachana na madawa ya kulevya kama alivyofanya kwa wengine ambao baadhi wapata matibabu na wanakaribia kupona. 

Kwa kutunza maadili ya tovuti yetu hatutaweza kuyaweka maoni ya mashabiki hao yaliyojaa matusi mengi sana kwa TID. Kama TID amebahatika kuyasoma maoni hayo atakuwa aidha kakasirika sana au atajifunza kitu.

HII NI ATALI NDANI YA BONGO

WAKUBWA TU **18 +***MAADILI YAKO WAPI JAMANI,,HII NI LAANA ..MADENTI WAPIGA PICHA ZA UTUPU WAKISAGANA HOTELINI,

 




katika hali inayoonyesha wimbi la mmomonyoko wa maadili  Tanzania, wasichana wengi wameendelea kujihusisha na mchezo mchafu wa usagaji, hawa ni wasichana ambao walinaswa wakiwa hotelini huko sinza vatikani jijini dar , wasichana hawa wlikuwa wakipiga picha kama mtu na mpenzi wake kabisa dah jamani tunaelekea wapi sasa?
tazama picha hizo hapa chini

AUNT ALIA SOMA@AMRIYNANA@BLOGSPOT.COM

AUNT AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE

Na Hamida hassan

SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amemwaga machozi baada ya kuhusishwa kuwa yeye ndiye anayefuata kufa.
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel
Kupitia gazeti la Ijumaa, Juni 13, mwaka huu, Nabii Bendera alisema ameoneshwa kwamba wasanii 20 wangekufa hivyo kama wanataka kujinusuru, wafike kanisani kwake na kupakwa mafuta.
Wakati gazeti hilo lilipoingia mtaani, ukurasa wa mbele uliambatanisha picha mbalimbali za baadhi ya wasanii waliofariki pamoja na wengine ambao wapo hai akiwemo Aunt Ezekiel (pichani) ndipo utata ulipoanzia.
Chanzo kilicho karibu na staa huyo, kilipenyeza habari kuwa, ndugu zake walimpigia simu Aunt ambapo walionesha kuwa na hofu ya kifo ambayo ilimfanya mwigizaji huyo naye aangue kilio mara kwa mara.
“Ndugu zake walilia sana kwani baada ya kuona picha ya Aunt katika gazeti, waliamini maneno ya nabii huyo kwa kujua pengine anayefuata kufa kati ya hao kumi ni ndugu yao.
“Aunt alilia sana siku hiyo na Wema (Sepetu) ndiye alisimama kumsihi asiendelee lakini kama haitoshi, bado amekuwa akiteseka mara kwa mara kila anapokumbuka tu, anakosa amani na kujikuta analia,” kilisema chanzo.
Hata hivyo, chanzo kimeeleza kuwa baada nguvu kubwa kutoka kwa marafiki wa karibu wa Aunt akiwemo Wema wamekuwa wakimsihi amuombe Mungu kwani si kwamba picha yake kutumika gazetini ndiyo atakufa wala maneno ya nabii huyo si sababu ya kuamini kwamba kweli vifo hivyo vitatokea.
“Wamemtaka amuombe Mungu na kutosikiliza maneno ya watu maana kuna watu ambao wamekuwa wakishadadia ishu hiyo katika mitandao na kumfanya Aunt aingiwe na hofu ya kifo, kidogo ameanza kuwaelewa,” kilisema chanzo.
Baada ya kupata habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Aunt, alipopatikana aliweka wazi kuwa suala hilo limemkosesha amani sana pamoja na ndugu zake.
“Walijua ndiyo nakufa, na mimi pia niliposikia harakaharaka niliamini nimetajwa mimi hususan waliponiambia picha yangu imetumika gazetini, nililia sana siku hiyo na siku zilizofuata pia watu walizidi kuniliza mitandaoni, mwisho wa siku nimemwomba Mungu anisimamie, atakaponichukua ni kwa mapenzi yake kama maandiko yanavyosema,” alisema Aunt.
Kwenye utabiri huo, nabii huyo alinukuliwa kuwa ndani ya mwezi Juni, idadi ya wasanii 20 wangefariki lakini hadi sasa hakuna kifo chochote kilichotokea hali ambayo inawafanya baadhi ya watu kuamini kwamba masuala ya kifo ni Mungu pekee anayejua nani atakufa lini.

B DOZEN,FATY,MCHOMVU WA DUNDANA

Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana jana katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea jana kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa 
Inshu nzima iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa? Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza Kikanuka zaidi! Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo? B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages... Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa
Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani.. Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B DOZEN,FETTY,NA MCHOMVU NGUMI STUDIO@AMRIYNANA@BLOGSPOT.COM

Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana jana katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea jana kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa 
Inshu nzima iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa? Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza Kikanuka zaidi! Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo? B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages... Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa
Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani.. Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

UNAMWAMBIA NINI MWANA KAKA UYU DIAMOND -----------------

UYU NI MSANII AYE PEPELUSHA BENDERA YA TANZANIA VIZURI AFRICA NA DUNIA NZIMA JE UNA MWAMBIA NINI/?

MZIKI UNALIPA GALI JIPYA LA DOGO ASLAY

MWANA MZIKI MCHANGA KABISA BONGO APA AMENUNUA GALI ZURI NA LENYE SAMANI YA MILLION SITA MWANA MUSIKI UYO AU KIJANA UYO ASLAY KAAMUA KUWAPIKU KAKA ZAKE KWA KUNUNUA GARI ILO AINA YA PASSOW

DAVIDO NDO MSHINDI WA AFRIKA BET

MTANZANIA DIAMOND AMEWEZA KUPEPE LUSHA BENDEREA YA NNCHI YAKE UKO NEW YOCK MAREKANI KATIKA TUNZO ZA BET NA KUACHA WATU HOI BIN TAABANI NA PIA NDIO MSAANII WAKWAZA KUWAKILISHA VIZURII ULO TUZIDI KUMTIA AMASA NA NIA PIA TUMSAPOTI

SIKILIZA WATANGAZAJI WA CLOUD ADAM MCHOFU,DJ FETTY,B DOZEN WALIVOPIGANA STUDIO

DJ FETTY NA ADAM MCHOMVU WAMELETA KALI YA WIKI AU MWAKA KWA KUPIGANA STUDI NA UGOMVI ULIKUA BAADA YA MCHOMVU KUZIMA MAIKI KWENYE KIPINDI SO FETTY AKAAZA KUMJIBU SHIT KAKA YAKE UYO NA KUCHALUANA KWAUGOMVI MKUBWA

UNAWZA KUSIKILIZA WIMBO WA CHEGE NA TEMBA MPYA

WIMBO WA CHEGE NA TEMBE AMBAO UMELETA GUMZO UKO MTAANI NA VIJANA WENGI WAMETOKEA KUUPENDA WIMBO UO SIKILIZA ALAFU NIPE MAONI YAKO

WEMA SEPETU AELEZA JUU YA NDOA YAO NA DIAMOND

MREMBO AU MISS TANZANIA WA 2006 WEMA AISACK SEPETU AME TOA LA MOYONI BAANA YA KUELEZA JUU YA KUFUNGA NDO NA DIAMOND MSHILIKI WA TUNZO ZA BET 2014 KUA WANA TAKA KUFUNGA NDO YAO KALIBUNI MADAI AYO YAMESEMA KUA DIAMOND NA WEMA NOW WAPO NA PLANI NYINGI SANA ZA KUFANYA KWAIYO WANA TAKA KUFANYA MAMBO MAZURI NA KUWAWEKA SAW FAMIILL ZAO ZIWE ANA AMANI NA UPENDO PIA KAKA WA DIAMOND ROM JONSON AMESEMA WAPO NA TALATIBU ZA KUFANYA IVO KWA MAMA WEMA NA PIA MAMA DIAMOND AMEKUBALI KUA WEMA NDO MKWE WAKE ADI SASA NA JAPO KULIKUA NA MAMBO MENGI YALIO TOKEA KIPINDI CHA NYUMA

UNAWEZA KUTEMBEREA MAMA U SALOON KWA UPAMBAJI

KAMA UNATAKA KUPAMBA MAALUSI AU UNAWEZA WASILIANA NA MAMA YOU  KWA KUTENGENEZA VITENGE KUSHONEAA NA MITINDO YA SALOON NA VITU KIBAO KWA
MAWSILIANO-0717753484-0654606656 MAMA YUU SALOON NDO CHAGUO LAKO KALIBUNI

MWANA DADA UYU ALIPATA AJALI MBAYA SANA SOMA CHINI

SIIKU YA JUMA TANO MWANA DADA JASMINI MIZILE ALIPATA AJALI MBAYA SANA NA KUSABABISHA KUWA MREMAVU WA MIGUU NA MIKONO WAKATI AKITOKA KATIKA MIANGAIKO YA  KILA SIKU ALIKUA NA GARI AINA YA VEROSSA AKIGONGANA NA BASII KUBWA LA ABILIA NA KUPOTEZA VIUNGO MUIMU KATIKA MWILI WAKE
TUNA TOA POLE KWA WOTE WAKIO PATA AJALI UKO NA POLE KWA NDUGU NA JAMAA NA MALAFIKI