Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana
jana katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na
B12 kushusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde
ilipoanzia, hii imetokea jana kwenye kipindi cha xxl.. sikiliza hapa
Inshu nzima iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr
hajatoa sembuse sasa? Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta
Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi
then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza Kikanuka zaidi! Fetty aliafiki jamaa
wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki.
Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni
tatizo? B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari
iko printing stages... Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya
kutoa album kwani itakuwa
Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani.. Fetty
aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana
feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati
ni tatizo?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni