
Jina langu naitwa Rebecca, Kwa niaba ya binti wangu mwenye umri wa miaka 16 naomba uchukue muda wako na kuusoma ujumbe huu wangu kwako..
Ninaamini una mama, dada, rafiki yako wa kike au mke pia. Na wote ni mwanwake kama mimi na binti yangu.
Angalia katika picha hii. Binti yangu amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa zaidi ya miaka mitatu sasa,Kansa ililiathiri ziwa lake moja na sasa imesambaa na kuliathiri ziwa la pili pia.
Tangu hapo maisha yamekuwa ni ya maumivu, huzuni na machozi kila mara.
Nimetembelea hospitali mbalimbali, nimetumia fedha nyingi bila mafanikio na sasa nimebaki kuwa maskini ninaye lia nyakati zote huku nikipitia maumivu makubwa moyoni mwangu hasa nikimwamngalia binti yangu.
Nakuomba ndugu yangu unayeisoma habari hii kuwa nami katika maombi ili wanangu apate unafuu wa maumivu haya na mimi na hatimaye furaha na ule ucheshi na ndoto zetu na mwanagu zirejee tena.
"Mungu wetu naomba umlinde mtoto wako na kumpa unafuu wa maumivu anayoyapitia sasa na kuwalinda wanawake wote huku ukiwaepusha na ugonjwa huu mbaya"
Kama una moyo wa huruma na wenye kuelewa kipindi kigumu ambacho mimi na binti yangu tunakipitia kwa sasa tafadhali usiudharau ujumbe huu.
Ni Mungu pekee mwenye uweza wa kutusaidia katika kipindi hiki kigumu na cha maumivu na huzuni..
Comment AMEN ili kumwomba Mungu awalinde dada zetu, mama zetu, marafiki zetu wa kike, wake zetu katika ugonjwa mbaya wa kansa ( saratani)!!!
SHARE ujumbe huu baada ya kukoment ili kuwapa nafasi watu wengine waweze ku-comment na ujumbe huu usambae
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni